Hii nyuzi kashika macho yangu na kuzifuta fahamu zangu.Kwanza kaka(am assuming) Chuse asema wakenya watembee.Tutatembeaje ilhali ukiwa mkenya Dar waonekana kama pwagu vile.Pengine badala ya kusema wekenya hawatembei,pengine ingekuwa bora kusema wakenya hawatembei Tanzania.Pengine mna manthari ya kupendeza lakini ni swala liilo dhahiri kuwa afadhali,kuwa mtanzania kenya kuwa kuwa mkenya tanzania.
Pili,wasema wa tanzania wana ubora wa maisha.Ndipo swali hujitokeza kwanini barabara ya kupitia Lunga Lunga huwa na magari ya kitanzania kajazwa pampers(pampari...is it?),sabuni,chumvi,dawa za mswaki(huwa sioni miswaki...pengine bado vijiti havijesha),na mengineyo.Kama kweli maisha yangekuwa mazuri zaidi basi pengine vitu hivi havingetokea.
Isitoshe,Tanzania ina madini mengi ambayo kama ingalikuwa kenya tungekuwa mbai.Tusemezane ukweli,ujamaa na kusoma uhasibu,utabibu,uanafalsafa na mengineyo kiswahili huleta madhara.Na mpaka waTz waamue kuacha m'bachao basi itakuwa sio mwanzo kwa waja kama kina Chuse kuanzisha nyuzi kama hizi.
Ndo waswahili wakasema,asiye na macho haambiwi tazama..hata pia haambiwi asitazame siku hizi.
The early worm, is the one caught by the early bird.........