chuse wrote:naona watu wanakuja na mawazo mazuri,tatizo wakenya wengi hawafahamu kuwa lugha si maarifa,ujuzi ama taaluma.Wanajivunia kujua kiingereza wakati warusi,wachina,waturuki na wengine wengi wanasoma kwa lugha zao na bado hakuna wanachopoteza.
1.mbona kama nyinyi mnauchumi imara watu wenu wanakufa njaa na mnaomba msaada tanzania
2.kwanini sukari mnavusha toka tanzania
***
Sukari si kila kitu kaka braza, sisi twanywa ndufiia na tushazoea.
Bona nyinyi wabongo mwakerwa na wakenya hivi? Ndugu zetu waganda wakarimu zaidi yenu. Nikiwa huko najiskia nyumbani si kama bongo.
Na niulize wamjua dada mmoja kutoka hapo Arusha tulikuwa kidato kimoja hapa Nairobi, tafuta nambari yake ya rununu unisambazie kaka braza, au vipi?
The greatest act of bravery is chancing a fart while suffering from diarrhoea