chuse wrote:wakenya mnajiona kama mpo sayari nyingine vile kumbe ni weupe hamna lolote wengi wenu hamjatembeaa ndo maana hamuelewi dunia ya nje,uchumi ni takwimu(statics/data)uhalisi ni maisha ya watu,
1. watu wangapi kenya wanamiliki nyumba zao?
2.kwanini watoto wenu na nyinyi wengi malala mitaani?
3.fikirini kabla hamja changia ki uhalisia watanzania wanamaisha bora kuliko yenu acheni kujitukuza tembeeni muone
my direct translation:
wakenya mnajiona kama mpo sayari nyingine vile kumbe ni weupe hamna lolote Kenyans you think you're in your own universe but its clear you dont have anything to pride yourselves in
wengi wenu hamjatembeaa ndo maana hamuelewi dunia ya nje,some of you have not travelled; the reason you dont understand the outside world.
,uchumi ni takwimu(statics/data)uhalisi ni maisha ya watu,economy is statistics; the real thing is the quality of life
1. watu wangapi kenya wanamiliki nyumba zao?how many people in Kenya live in their own houses?
2.kwanini watoto wenu na nyinyi wengi malala mitaani?(SP)should have been -walala not malalawhy are your children living in the streets?
3.fikirini kabla hamja changia ki uhalisia
think before contributing originally-(i dont know what kihalisia means in this context)
watanzania wanamaisha bora kuliko yenu acheni kujitukuza tembeeni muoneTanzanians have a better way of life.
stop praising yourselves, travel and see for yourselves.