Sasa wewe,
Uchumi eti ni takwimu, hizo takwimu zikiwa bora, - maisha nayo? si itakuwa bora, halafu maisha bora si inaleta uhalisi wa maisha, ama namna gani?
Hii mujadala yako hapa mi naona huwesimek labda ubadilishe tuchangie katika lugha ya kimombo.