Ø Tembea peke yako, wachana na kirindi..
Ø Tembea haraka haraka ndugu yangu, ukikaribia kencom ama ambassador ama stage ya posta, simama then look left and right ten times halafu upite mbio
Ø Ukiingia kwa matatu kaa karibu na mlango, wariah akiingia kwa hio matatu tafadhari shuka. Afadhali uende mguu nyumbani kuli...ko ku-fly dead!
Ø Hapana kunywa pombe ya town, kuwa unakunywa huko mukuru kwa njenga, kiamaiko na mathare
Ø Supermarket unaenda kufanya nini? Kama ni lazima ufanye shopping enda lakini usipite hapo kwa tills, tuma attendant akuletee shopping yako ukiwa hapo - kama unaangalia mlango!
Ø Usinunue avocado za pale ngara market au za gikomba, hapo ni karibu sana na eastleigh na nguruneti inaweza kuuzwa kama avocado. Shunga sana!
Ø Hata kukaa tu ndeee kwa sitting ni hatia,kuna Yule jamaa alipigwo risasi akio sitting last week.Ukiwa kwa nyumba jipe shungli tafadhari