Tembea peke yako, wachana na kirindi.. ona kirindi nikiaremire Musa
Tembea haraka haraka ndugu yangu, ukikaribia kencom ama ambassador ama stage ya posta, simama then look left and right ten times halafu upite mbio
Ukiingia kwa matatu kaa karibu na mlango, waliah akiingia kwa hio matatu tafadhali shuka. Afadhali uende mguu tikwega!
Hapana kunywa pombe ya town, kuwa unakunywa huko mukuru kwa njenga, kiamaiko na mathare
Supermarket unaenda kufanya nini? Kama ni lazima ufanye shopping enda lakini usipite hapo kwa tills, tuma attendant akuletee shopping yako ukiwa hapo - kama unaangalia mlango!
Usinunue avocado za pale ngara market au za gikomba, hapo ni karibu sana na eastleigh na nguruneti inaweza kuuzwa kama avocado. Shunga sana!
Business opportunities are like buses,there's always another one coming