simonkabz wrote:Nkt! Sasa mumenishanganya. Imeripuriwo ama imeturiswo ni porisi??
Kurigana na hambari moto moto sa wasua, inasemekana aro sambab warikuwa wanataka kuripuwa rakini porisi wakaripuwa. Sasa kuripuwa, ikaripuka. Sasa kuripuka...
rakini jabo la kusagasa ni kwaba, kama hiyo bomu irikuwa iripuke kwanini porisi waripue? si igeripuka free of sharge (charge).
Never count on making a good sale. Have the purchase price be so attractive that even a mediocre sale gives good returns.