UJINGA NI:
1. Kujiita romantic na uko single.
2. Kukaa mbele kwa mathree alafu unaturn kwambia konda 'shukisha' na umekaa na deree.
3. Kutumia cursor kuscare mosquito itoke kwa screen ya comp.
4. Kureduce volume ya radio usome sms.
5. Kuruka line VCT.
6. Kupigiwa simu halafu unaangalia balance yako after the call.
7. Kutafuta remote ya TV 4 10 min, na tv iko a step away
8. KuDELETE namba ya X wako na unaijua off head
9. Kupeleka vits kwa car wash badala ya Baby shower
11. Kubargain kitu kutoka soo hadi fifty alafu bado unapea muuzaji 1000 akupatie change
10. Kubuy beer ingine moja ukitegea fare ishuke hadi mbao!
Think Positive Test Negative