anasazi wrote:What was he saying?
Kuna watu
wegine wanapiga kanisa hii. Wanasema eti ninaweka namba ya MPesa hapa chini ya TV (sic). Wahubiri wote wa TV wanaweka namba hapo chini. Mimi nikisema MPesa na hao waseme "support us" kuna tofauti gani? Hakuna mtu analazimishwa kutuma pesa kwa MPesa. Nyinyi mnapiga kanisa mbona
hamutaki wanaotuma pesa wabarikiwe... bla bla bla. It went on and on. That was the only other thing other than selling his instant miracles.
Same script like last Sunday. Started with a "dada ambaye hakuwa anjua kule pesa yake inaenda ingawa anafanya kazi. Akanitumia sms bla bla na akasima na kanisa hii na 1,500/=...". Then it went to kama uko na madeni, nitumie jina
yako, mahali unaishi bla bla bla NA UFUATANISHE NA SADAKA [his words exactly]. Toa kwa mungu kidogo na yeye akulipie hiyo deni kubwa bla bla bla. And on to the other categories...
Never count on making a good sale. Have the purchase price be so attractive that even a mediocre sale gives good returns.