[quote=Magigi]... Imagine somebody telling u wasiwasi mwiingi kama suruali ya Malaya mwisho wa mwezi’. Haijui ikae ikivaliwa ama iachwe...ni kuvaa kuvua,kuvaa kuvua, kuvaa kuvua... [quote=Magigi] Tumezoea wasiwasi kama kuku mgeni, goalkeeper ama mkia ya mbuzi lakini hii ni kali bana... nimecheka yangu yote.
We Will Either Find a Way or Create One - HANNIBAL