Just heard a song on TV that cracked my ribs by Kayamba something
Quote:♫
kwenye parapara hapakosi paiskeli kwani paiskeli ni
kari yake mluhya...
kwenye paiskeli hapakosi pepapak kwani ...pepapak ni handipak yake mluhya..,
kwenye pepapak hapakosi retio kwani retio ni mopile yake mluhya,...
kwenye retio hapakosi salamu kwani salamu ni hoppy yake mluhya.....
kwenye salamu hapakosi uchumbe "kufunjika kwa mwiko sio mwisho wa kupika ukali"♫
I am sure Luhyas will go balistic (including my wife) coz of its stereotypes.
All Mushrooms are edible! Some Mushroom are only edible ONCE!