Intelligentsia wrote:Mnyambuliko wa neno 'nyamba'
Hali ya kufanya: Kunyamba
Hali ya ukubwa (ngeli ya K-L): Kimnyambo ama Lumnyambo
Hali ya udogo:Kamnyambo
Anayefanya kitendo: Mnyambi
Anayefanyiwa kitendo: Mnyambiwa
Anayefanya kwa niaba ya mwingine:Mnyambianaje
endelea!
, hali ya watu kunyamba pamoja ni kunyambiana.
Don't wait for the Last Judgment. It happens every day. ~Albert Camus, The Fall, 1956