PuthyKrasha wrote:Intelligentsia wrote:just coz of a dance? didnt dig deep.
iuuuwi! have u seen that story on the right 'Mume wangu ananidandia ukuta'...
Tanzanians love Gossip....
kweli hapo umewaonea kwanini ciku na akina maina kageni upendwa saaana kusikizwa na wakenya wengi? si ni kwasababu ya skendo za watu na 'ishu....bila kusahau gazeti la pulse.
kwa maoni yangu 'Ishu' hiyo ya bibi ya moi ilikuwa kizingamkuti kwa watu wengi mi pia nigetaka kujua kwanini Moi aliamua kuishi Ukapera Baada ya kuachana na bibi yake ama uhusiano wake na wanawake ulikuwa siri?
'......to the acknowledgment of the mystery of God, and of the Father, and of Christ; 3 In whom are hid all the treasures of wisdom and knowledge.' Colossians 2:2-3