Rabbit is going to be one of the Kenyas finest MCs. check out the video and some of the lyrics to Mtu hivi hivi
http://www.youtube.com/watch?v=WoOTnoVXPmY
mwenye nyumba kwa shingo yangu anadai Rabbit leta rent,
namshow ntamlipa nikishalipwa my deni
na dem yangu leo alikuwa nankam namshemeji
anatoka akidai (we ni mtu aina gani?)
nikawauliza ka watakula wakipiga tu mastories
minapiga binja nikikata dania slowly
huku napika wakaona panya kubwa jikoni
wakadai ona (huu ni mtu aina gani?)
dishi imeiva ile niliipatia sifa
vile waliona panya wakadai wamesiba
ati walikula kwa hoteli siunajua za njia
sahizo najiaambia kwa kichwa (hawa ni watu aina gani?)
vile walijitoa , mi siwezi waste dishi
ntakuwa nikichemsha kila siku ya hii wiki
walienda na maubao ninakula na ma hiccups
dem yangu ananitumia text ati shemeji wanadai
(Chorus)
we ni mtu aina gani (gani wewe)
haujali ata! ata ata kidogo
we ni mtu hivi hivi (hivi hivi)
we ni mtu hivi hivi (hivi hivi)
we ni mtu aina gani (gani wewe)
haikuumi ata! ata ata kidogo
we ni mtu hivi hivi (hivi hivi)
we ni mtu hivi hivi (hivi hivi)
lyrics provided by
www.kenyanlyrics.com'......to the acknowledgment of the mystery of God, and of the Father, and of Christ; 3 In whom are hid all the treasures of wisdom and knowledge.' Colossians 2:2-3