wazua Sat, Nov 16, 2024
Welcome Guest Search | Active Topics | Log In | Register

3 Pages<123
Mjadala wa Ijumaa.
kichwangumu
#41 Posted : Friday, September 17, 2010 3:20:39 PM
Rank: Member


Joined: 6/15/2009
Posts: 106
Ati unajifanya maiti ukatwe sehemu nyeti na nani sasa mtu akikuuliza swali kama hii. unafaa kufanya nini.
Mtu Biz
#42 Posted : Friday, September 17, 2010 5:07:09 PM
Rank: Veteran


Joined: 1/16/2007
Posts: 1,320

Kwanza kabisa ningependa kuchukua fursa hii kumpongeza mwanzilishi wa uzi huu na wote waliochangia mjadala huu kwa lugha sanifu ya taifa HONGERA!

Pili nina bashasha kem kem kwa kuona kwamba kweli wazua kuna ukwasi wa lugha lakini pia nasikitika kua babu guka na wengine walioanguka mitihani ya lugha ya taifa kidogo watakua "wageni" uzi huu unapoendelea kurefuka.

Lakini mbali na haya, imekua ni nadra sana kwangu kupata uzi ulio na manufaa katika kuendeleza fikra na mawazo ya wana wazua.

Naomba kua kupata nyuzi kama hizi humu wazua iwe kitu cha kawaida....

Mwisho naomba kumpa hongera bwana intelligensia kwa kiswahili chake sanifu.

Ijumma njema... naomba ndugu zetu wa phombe wasishiriki kupindukia.

Asanta.smile
Sola Scriptura


vinii
#43 Posted : Friday, September 17, 2010 6:03:23 PM
Rank: Elder


Joined: 10/14/2009
Posts: 2,057
...@Magigi (nadhani ukiwa kwa uzi kama hii tafadhali geuza jina lako liwe @ Matiti)- naona kweli wana Wazua wametia bidii kujadili kwa lugha ya Taifa ... nawapa pongezi...naomba ikiwezekana tuwe na uzi wa Kiswahili kila Ijumaa...ukweli nikua @wazua haelewi ni nini tunasema...hehehehehe( pole, nilitaka kucheka kwa lugha tamu ya kiswahili...hohohohohohohoho)
If you are an eagle don't hang around with chickens; chickens don't fly....
sheep
#44 Posted : Friday, September 17, 2010 9:48:36 PM
Rank: Veteran


Joined: 7/24/2008
Posts: 781
Naona kweli mwajua munyambuliko wa vitenzi...katika ngeli ya hali ya ku-fanya/fanyia/fanyana/fanywa/fanyisha na kwa hayo machache muwe na ijumaa ya ngeli ya fanya.
The utimate goal of investing is to buy low sell high;if we re-write this core equation in psychology terms it becomes buy fear sell greed.
Intelligentsia
#45 Posted : Saturday, September 18, 2010 11:04:44 AM
Rank: Elder


Joined: 10/1/2009
Posts: 2,436
wewe kodoshe Laughing out loudly
Kusadikika
#46 Posted : Saturday, September 18, 2010 8:41:32 PM
Rank: Elder


Joined: 7/22/2008
Posts: 2,702
Kilio cha Haki:

Mnaona mimi naenda na matangari
Na wewe unashukua mbesha yangu
Unaenda na thuti
Muka yako anakuja anakura nguku, mayai, matumbo siku zote
Ni kwa nini wewe unakula hivyo.

Users browsing this topic
Guest (8)
3 Pages<123
Forum Jump  
You cannot post new topics in this forum.
You cannot reply to topics in this forum.
You cannot delete your posts in this forum.
You cannot edit your posts in this forum.
You cannot create polls in this forum.
You cannot vote in polls in this forum.

Copyright © 2024 Wazua.co.ke. All Rights Reserved.