wazua Sat, Nov 16, 2024
Welcome Guest Search | Active Topics | Log In | Register

3 Pages<123>
Mjadala wa Ijumaa.
safariant
#21 Posted : Friday, September 17, 2010 11:26:34 AM
Rank: Member


Joined: 9/9/2010
Posts: 784
Location: ant hill - red hill
Magigi wrote:
Kuna hili swala la mkoa wa kati ambapo mbunge wa huko, Bwana Mtutho amesisitiza kwamba vijana wameshughulikia pombe ya changaa sana kiasi cha kwamba hawawezi kazi yoyote ile, iwe ya ndani au ya nje. Ameendelea kusema kwamba katika mkoa wa kati, kati ya kila mazishi kumi kuna mzao mmoja (Mdoe arekebishe hapa!) ilhali katika mkoa wa Kaskazini wazee wa miaka 80 wangali wanaweza kazi yoyote ile. Huko kati ya kila mazishi moja kuna watoto kumi wanaozaliwa. Je unakubaliana na maoni ya Mtutho...Jadili.

(ONYO: HAPA NI KISWAHILI TU PEKE YAKE...)

**********************************************
Bwana Mututho ni mbunge wa Naivasha, Naivasha haipo wala haijawahi kuwa mkoa wa kati. Ipo mkoa wa bonde la ufa.
Tafathali jielimishe na somo la jiografia.
The greatest act of bravery is chancing a fart while suffering from diarrhoea
Wa_ithaka
#22 Posted : Friday, September 17, 2010 11:36:53 AM
Rank: Veteran


Joined: 1/7/2010
Posts: 1,279
Location: nbi
Mjadala ni nani?
The Governor of Nyeri - 2017
Magigi
#23 Posted : Friday, September 17, 2010 11:41:33 AM
Rank: Elder


Joined: 3/31/2008
Posts: 7,081
Location: Kenya
Tebes wrote:
Siku moja.....Babu alienda hospitali. Kufika kaambiwa itabidi kupimwa damu kwa kidole na muuguzi. Lakini ikawa damu haitoki.
Ilimbidi muuguzi yule wa kike amnyonye kidole ndiyo damu itoke. BABU naye akaona raha. Akasema mkojo pia hautoki...……………..

Tafakari Hayo.



...Huyu babu ana mazito na yawezekani kuwa alitoka mkoa wa kaskazini....
Magigi
#24 Posted : Friday, September 17, 2010 11:46:44 AM
Rank: Elder


Joined: 3/31/2008
Posts: 7,081
Location: Kenya
@safariant
...Samahani kwa hitilafu hio ndogo lakini maneno ni yake...
carygoh
#25 Posted : Friday, September 17, 2010 12:02:00 PM
Rank: Elder


Joined: 5/4/2008
Posts: 1,703
Noble wrote:
Ahsanteni wote kwa mjandala kwa lugha ya Taifa. Kuna manufaa na mafunzo kwa wengi kama mimi. Kwa mfano, sikunjua Mututho anaitwa Mtutho kwa lugha ya taifa letu tukufu.

Tuendeleee hivyo hivyo.. na maneno haya haya, kwa maana hakuna haja kuwachaaa.



na umeng'oa
Think Positive Test Negative
safariant
#26 Posted : Friday, September 17, 2010 12:03:30 PM
Rank: Member


Joined: 9/9/2010
Posts: 784
Location: ant hill - red hill
.
The greatest act of bravery is chancing a fart while suffering from diarrhoea
safariant
#27 Posted : Friday, September 17, 2010 12:05:19 PM
Rank: Member


Joined: 9/9/2010
Posts: 784
Location: ant hill - red hill
Magigi wrote:
@safariant
...Samahani kwa hitilafu hio ndogo lakini maneno ni yake...



*********************
Shame on you Shame on you Shame on you Hayo Ni makosa ndugu au dada magigi wala sio hitilafu. Hitilafu huwa ya mitambo
The greatest act of bravery is chancing a fart while suffering from diarrhoea
wasee
#28 Posted : Friday, September 17, 2010 12:18:18 PM
Rank: Member


Joined: 2/5/2010
Posts: 273
Location: NBI
Magigi wrote:
@Vinii... Wacha tuite thread 'uzi'...


Applause Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly
centerbolt
#29 Posted : Friday, September 17, 2010 12:38:01 PM
Rank: Member


Joined: 2/26/2010
Posts: 108
Location: Jabini
radio wrote:
Tunaomba serekali iingilie kati kabla hii shinda imezidi unga. kiswahili kiangu kimeishia hapo.


Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly BK
nostoppingthis
#30 Posted : Friday, September 17, 2010 12:50:16 PM
Rank: Chief


Joined: 8/24/2009
Posts: 5,909
Location: Nairobi
nostoppingthis wrote:
Magigi wrote:
Kuna hili swala la mkoa wa kati ambapo mbunge wa huko, Bwana Mtutho amesisitiza kwamba vijana wameshughulikia pombe ya changaa sana kiasi cha kwamba hawawezi kazi yoyote ile, iwe ya ndani au ya nje. Ameendelea kusema kwamba katika mkoa wa kati, kati ya kila mazishi kumi kuna mzao mmoja (Mdoe arekebishe hapa!) ilhali katika mkoa wa Kaskazini wazee wa miaka 80 wangali wanaweza kazi yoyote ile. Huko kati ya kila mazishi moja kuna watoto kumi wanaozaliwa. Je unakubaliana na maoni ya Mtutho...Jadili.

(ONYO: HAPA NI KISWAHILI TU PEKE YAKE...)


@All, mjadala huu ni mzuri sana; imenifnya kugunduwa kwamba lugha ya kiswahili hakina wafwasi wengi.
Nikirudi katika mnyayoyajadili; niko na swali kadhaa
1. Pombe ya chang'aa au pombe yoyote ingine iko na madhara gani katika kudisa?
2.Kuna watu wanaoamini kwamba akinywa pombe (labda chupa mbili za guiness)ndio mchezo wake unaimarika

Kiswahili kimekwisha


Mbona hamunipatii jibu wenzangu, ama hamuelewi maana ya kudisa? (hint: ED)na pombe kama ya guiness iko na manufaa gani?
Wendz
#31 Posted : Friday, September 17, 2010 12:56:40 PM
Rank: Elder


Joined: 6/19/2008
Posts: 4,268
carygoh wrote:


na umeng'oa


Is it umeng'oa or umenoa?
KADUSI
#32 Posted : Friday, September 17, 2010 1:10:59 PM
Rank: Member


Joined: 4/18/2008
Posts: 51
Leo watu wameamua lugha ya taifa.Wengine wetu itabidi tusome tu bila kuchangia.

Much Know
#33 Posted : Friday, September 17, 2010 1:32:08 PM
Rank: Elder


Joined: 12/6/2008
Posts: 3,548
CKS (cheka kwa sauti) au kuLOLi, sijui nitasema vipi
hata hivyo hii uzi imenibamba na kunibambua sana, sikuwahi jua kwamba tuna wataalam wa lugha chungu mzima hapa wazua.

Tukirudi kwenye jambo nyeti la fitina iliyo kumba mijadala kuhusu utuaji wa ndege katika viwanja tofauti, kwa fikira zangu akina mama walikerwa sana wakati mchangaji moja katika huo mjadala kwa Jina Magigi alipo eleza kwa kinagaubaga na jinsi ya kusisimua sana vile aliona kisiwa fulani alipokuwa akielekesha ndege lake kutua

hat hivyo jambo hili limelekea wenyeji wengi wa wazua kuwaza na kuWAZUA juu ya masuluhisho tofauti kama lile la "FOR MEN ONLY", ili wanawake wasiotaka kuyasikia, wasiingie, wale wanapenda hadithi zetu watakuja kama wageni au wanavyo julikana sahihi kwa kimombo kama GUEST

ASHANTENI
A New Kenya
nostoppingthis
#34 Posted : Friday, September 17, 2010 1:32:31 PM
Rank: Chief


Joined: 8/24/2009
Posts: 5,909
Location: Nairobi
Wendz wrote:
carygoh wrote:


na umeng'oa


Is it umeng'oa or umenoa?


@wendz, kumbe hauko vibaya na lugha ya taifa
MaichBlack
#35 Posted : Friday, September 17, 2010 1:44:30 PM
Rank: Elder


Joined: 7/22/2009
Posts: 7,452
nostoppingthis wrote:
Wendz wrote:
carygoh wrote:

na umeng'oa

Is it umeng'oa or umenoa?

@wendz, kumbe hauko vibaya na lugha ya taifa

Hapa @karigu na @wendz hawaelewani. kunoa ni kutopata jibu sahihi. kung'oa [lugha ya mtaani ama 'graud'] ni kuadhiriwa na lugha ya mama kama vile kusema 'shura', 'rori', 'statium', 'sitiupiti', 'muchamaa', 'furu furu condisheni' na kadhalika. @karigu alikuwa anamaanisha mchangiaji ameng'oa

Ukitizama kichapisho [post] #25 [LOL] utayaona maneno mawili mekundu ambayo yanathibitisha yakwamba mchangiaji ametoka sehemu za Murang'a [ambako inasemekana ndege hazitui tena!]
Never count on making a good sale. Have the purchase price be so attractive that even a mediocre sale gives good returns.
Wendz
#36 Posted : Friday, September 17, 2010 1:47:03 PM
Rank: Elder


Joined: 6/19/2008
Posts: 4,268
nostoppingthis wrote:
Wendz wrote:
carygoh wrote:


na umeng'oa


Is it umeng'oa or umenoa?


@wendz, kumbe hauko vibaya na lugha ya taifa


hei, ... siku zetu, tulifundishwa lugha kwa njia ya kari fransis.
Intelligentsia
#37 Posted : Friday, September 17, 2010 2:08:15 PM
Rank: Elder


Joined: 10/1/2009
Posts: 2,436
KADUSI wrote:
Leo watu wameamua lugha ya taifa.Wengine wetu itabidi tusome tu bila kuchangia.



Lo, tayari kachangia kaka! smile

Haya,kabla hujatafakari hayo na pia kwamba imebainika wazi wazuzu wengi husoma nakala zao za TAIFA LEO kila siku, wacha nimeze kope la maji...
newfarer
#38 Posted : Friday, September 17, 2010 2:22:16 PM
Rank: Elder


Joined: 3/19/2010
Posts: 3,504
Location: Uganda
Hapa nimepoteza netiwaki(mtandao)
punda amecheka
newfarer
#39 Posted : Friday, September 17, 2010 2:24:28 PM
Rank: Elder


Joined: 3/19/2010
Posts: 3,504
Location: Uganda
Tarakilishi yangu yasema kwamba ukurasa huu umeandikwa kiswahili.yaniuliza kama ningependa kutafsiri.
punda amecheka
mwenza
#40 Posted : Friday, September 17, 2010 3:20:19 PM
Rank: Elder


Joined: 4/22/2009
Posts: 2,863
Na pia kronomita yangu yanionyesha hivo hivo.
IF YOU EXPECT ME TO POST ANYTHING POSITIVE ABOUT ASENO, YOU MAY AS WELL SIT ON A PIN
Users browsing this topic
Guest (8)
3 Pages<123>
Forum Jump  
You cannot post new topics in this forum.
You cannot reply to topics in this forum.
You cannot delete your posts in this forum.
You cannot edit your posts in this forum.
You cannot create polls in this forum.
You cannot vote in polls in this forum.

Copyright © 2024 Wazua.co.ke. All Rights Reserved.