wazua Sat, Nov 16, 2024
Welcome Guest Search | Active Topics | Log In | Register

3 Pages123>
Mjadala wa Ijumaa.
Kusadikika
#1 Posted : Friday, September 17, 2010 3:43:03 AM
Rank: Elder


Joined: 7/22/2008
Posts: 2,702
Viwanja vya ndege vimepigwa marufuku
Miti nayo haiwezi kujadiliwa
Juma limekuwa na shughuli nyingi
Na mijadala mingine haina ladha kwa hii siku
Tutasema ya nini ili leo tujiburudishe
Na yasiwe ya kukanganya ubongo sana
Tutashukuru kwa kicheko au tabasamu
Hata ingawa ni Ijumaa pengine una wakati wa kuwazua haya.

Magigi
#2 Posted : Friday, September 17, 2010 9:01:29 AM
Rank: Elder


Joined: 3/31/2008
Posts: 7,081
Location: Kenya
Kuna hili swala la mkoa wa kati ambapo mbunge wa huko, Bwana Mtutho amesisitiza kwamba vijana wameshughulikia pombe ya changaa sana kiasi cha kwamba hawawezi kazi yoyote ile, iwe ya ndani au ya nje. Ameendelea kusema kwamba katika mkoa wa kati, kati ya kila mazishi kumi kuna mzao mmoja (Mdoe arekebishe hapa!) ilhali katika mkoa wa Kaskazini wazee wa miaka 80 wangali wanaweza kazi yoyote ile. Huko kati ya kila mazishi moja kuna watoto kumi wanaozaliwa. Je unakubaliana na maoni ya Mtutho...Jadili.

(ONYO: HAPA NI KISWAHILI TU PEKE YAKE...)
vinii
#3 Posted : Friday, September 17, 2010 9:08:59 AM
Rank: Elder


Joined: 10/14/2009
Posts: 2,057
@ Magigi nakubaliana nawe kuwa mjadala hapa lazima uwe kwa Lugha yetu teule ya KISWAHILI. Lakini sijui 'thread' kwa lugha ya kiswahili ni nini.

Nakubaliana na Mtutho kua pombe mbaya imeharibu uwezo wa vijana wetu wa kushirika kwenya tendo la mapenzi...mabibi wamewachua bila lakufanya....
If you are an eagle don't hang around with chickens; chickens don't fly....
Magigi
#4 Posted : Friday, September 17, 2010 9:11:26 AM
Rank: Elder


Joined: 3/31/2008
Posts: 7,081
Location: Kenya
@Vinii... Wacha tuite thread 'uzi'...
Intelligentsia
#5 Posted : Friday, September 17, 2010 9:36:45 AM
Rank: Elder


Joined: 10/1/2009
Posts: 2,436
Hamjamboni wananchi wenzangu wa nchi ya mtandao ya wazua.
Kwnza kabisa,ningependa kumkosoa bwana kusadikika kwamba kuzuru viwanja vya ndege hakujapigwa marufuku ila tu ni kujadili hadharani tofauti kati ya wenye viwanja hivi.

Aidha, nakubaliana na maoni ya bwana magigi na bwana Mututho na kukiri kwamba kuna shida fulani iliyotaanda sana mikoani yote Kenya. Shida hii ni ya kipekee na inahitaji suluhisho la dharura.

Swala nyeti linalotuadhiri na pia kutukera wote katika wazua na nchi tukufu ya kenya leo ni: Hususan kwanini vijana wa baadhi ya mikoa fulani kushindwa - la - hasa kukosa hamu na tamaa, ya kutembelea viwanja vya ndege vilivyo vingi sana nchini kadri ya wenye viwanja hivi kuomba msaada wa ki dini kupata abiria?
Janga hili halikupatikana wala kusikika katika enzi la mababu wetu kama guka. Je,tufanyeje?

Impunity
#6 Posted : Friday, September 17, 2010 9:55:22 AM
Rank: Elder


Joined: 3/2/2009
Posts: 26,328
Location: Masada
Ahsalam aleikum mandugu na madada.
Mie hapa naitwa Macho-ngumu (impunity???)
Swala ambalo lilileta njeve hii wiki kwa maoni yangu ni lile lililofanyika kule ospitali kuu cha kenyata.
Kwa wale wamesahau, ili kuwa hivi:
Jamaa moja alichukua kisu yenye makali sana.
Kisha akanyofua sehemu nyeti ya maiti.
Kisha alishtakiwa kwa kuumiza maiti.
Portfolio: Sold
You know you've made it when you get a parking space for your yatcht.

radio
#7 Posted : Friday, September 17, 2010 9:56:48 AM
Rank: Veteran


Joined: 11/9/2009
Posts: 2,003
Tunaomba serekali iingilie kati kabla hii shinda imezidi unga. kiswahili kiangu kimeishia hapo.
Impunity
#8 Posted : Friday, September 17, 2010 10:04:50 AM
Rank: Elder


Joined: 3/2/2009
Posts: 26,328
Location: Masada
radio wrote:
Tunaomba serekali iingilie kati kabla hii shinda imezidi unga. kiswahili kiangu kimeishia hapo.


@kipaa sauti (radio?),I terro yu kiswahili ni mdomo ngumu zaidi ya yote.
Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly
Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly
Portfolio: Sold
You know you've made it when you get a parking space for your yatcht.

nostoppingthis
#9 Posted : Friday, September 17, 2010 10:14:03 AM
Rank: Chief


Joined: 8/24/2009
Posts: 5,909
Location: Nairobi
Magigi wrote:
Kuna hili swala la mkoa wa kati ambapo mbunge wa huko, Bwana Mtutho amesisitiza kwamba vijana wameshughulikia pombe ya changaa sana kiasi cha kwamba hawawezi kazi yoyote ile, iwe ya ndani au ya nje. Ameendelea kusema kwamba katika mkoa wa kati, kati ya kila mazishi kumi kuna mzao mmoja (Mdoe arekebishe hapa!) ilhali katika mkoa wa Kaskazini wazee wa miaka 80 wangali wanaweza kazi yoyote ile. Huko kati ya kila mazishi moja kuna watoto kumi wanaozaliwa. Je unakubaliana na maoni ya Mtutho...Jadili.

(ONYO: HAPA NI KISWAHILI TU PEKE YAKE...)


@All, mjadala huu ni mzuri sana; imenifnya kugunduwa kwamba lugha ya kiswahili hakina wafwasi wengi.
Nikirudi katika mnyayoyajadili; niko na swali kadhaa
1. Pombe ya chang'aa au pombe yoyote ingine iko na madhara gani katika kudisa?
2.Kuna watu wanaoamini kwamba akinywa pombe (labda chupa mbili za guiness)ndio mchezo wake unaimarika

Kiswahili kimekwisha
Tebes
#10 Posted : Friday, September 17, 2010 10:14:06 AM
Rank: Elder


Joined: 11/26/2008
Posts: 2,097
@Magigi

Kwanini watu hupenda kujumlisha wabunge wa jamii fulani kwamba ni wa mkoa fulani? Kwa mfano, Mtutho hatoki uliokuwa Mkoa wa Kati, bali yeye hutoka uliokuwa mkoa wa Bonde la Ufa. Vile vile watu watu wakimaanisha wabunge wa jamii fulani walikuwa wakisema wabunge wa rift valley.
"Never regret, if its good, its wonderful. If its bad, its experience."
Wendz
#11 Posted : Friday, September 17, 2010 10:14:26 AM
Rank: Elder


Joined: 6/19/2008
Posts: 4,268
Impunity wrote:
Ahsalam aleikum mandugu na madada.
Mie hapa naitwa Macho-ngumu (impunity???)
Swala ambalo lilileta njeve hii wiki kwa maoni yangu ni lile lililofanyika kule ospitali kuu cha kenyata. Hospitali???? ya????
Kwa wale wamesahau, ili kuwa hivi:
Jamaa moja alichukua kisu yenye(ki-che) makali sana.
Kisha akanyofua sehemu nyeti ya maiti.
Kisha alishtakiwa kwa kuumiza (maiti kaumia????)maiti.


Hata kiswahili kia macho ngumu kiko karibu kumuishia.... Hiki kiswahili kimekuwa kingi mno..... na kinafanyana mtu kufilu kizunguzungu akijaribu kufiga auti nini mtu anasema....
Njung'e
#12 Posted : Friday, September 17, 2010 10:21:31 AM
Rank: Elder


Joined: 2/7/2007
Posts: 11,935
Location: Nairobi
radio wrote:
kiswahili kiangu kimeishia hapo.

Laughing out loudly Laughing out loudly ....BK..Laughing out loudly .Can i send you a billLaughing out loudly

@Tebes,
Bonde la.....

@Wendz,
Ngai....is that Gi-shumari?Laughing out loudly Laughing out loudly

Nothing great was ever achieved without enthusiasm.
Magigi
#13 Posted : Friday, September 17, 2010 10:28:09 AM
Rank: Elder


Joined: 3/31/2008
Posts: 7,081
Location: Kenya
Wendz wrote:
[Hata kiswahili kia macho ngumu kiko karibu kumuishia.... Hiki kiswahili kimekuwa kingi mno..... na kinafanyana mtu kufilu kizunguzungu akijaribu kufiga auti nini mtu anasema....


...Nilikuwa nafikiria kwamba Anyang Nyongo ndiye amelemewa sana katika huu ulingo wa Lugha ya Kiswahili. Kumbe tuko wengi.
...Kurudi kwa mjadala, hili ni swala nyeti ambalo linatatiza sehemu nyeti. Ningependekeza kwamba serikali ianzishe mikakati ya kupea chakula wavulana wa sehemu ile chakula imechanganywa na 'viagara'. Nafikiria wizara ya huduma ya vijana na michezo inaweza kushughulikia swala hili.
Tebes
#14 Posted : Friday, September 17, 2010 10:30:12 AM
Rank: Elder


Joined: 11/26/2008
Posts: 2,097
Njung'e wrote:
radio wrote:
kiswahili kiangu kimeishia hapo.

Laughing out loudly Laughing out loudly ....BK..Laughing out loudly .Can i send you a billLaughing out loudly



Kiswahili tafathali!

Je, nitumaneBrick wall kwako ulipe?
"Never regret, if its good, its wonderful. If its bad, its experience."
Noble
#15 Posted : Friday, September 17, 2010 10:31:38 AM
Rank: Member


Joined: 8/19/2009
Posts: 173
Location: NAIROBI
Ahsanteni wote kwa mjandala kwa lugha ya Taifa. Kuna manufaa na mafunzo kwa wengi kama mimi. Kwa mfano, sikunjua Mututho anaitwa Mtutho kwa lugha ya taifa letu tukufu.

Tuendeleee hivyo hivyo.. na maneno haya haya, kwa maana hakuna haja kuwachaaa.
nostoppingthis
#16 Posted : Friday, September 17, 2010 10:38:20 AM
Rank: Chief


Joined: 8/24/2009
Posts: 5,909
Location: Nairobi
Unapozidi kuongea kiswahili, ndivyo tunaendelea kujua unakotoka nyumbani
Ondiek
#17 Posted : Friday, September 17, 2010 10:42:23 AM
Rank: Member


Joined: 6/21/2009
Posts: 292
Najiuliza kamaa Wazua anauwezo wa kusahihishia mjadala wowote kwa lugha hii.Wazua upo?
sheep
#18 Posted : Friday, September 17, 2010 10:51:16 AM
Rank: Veteran


Joined: 7/24/2008
Posts: 781
Njung'e wrote:
radio wrote:
kiswahili kiangu kimeishia hapo.

Laughing out loudly Laughing out loudly ....BK..Laughing out loudly .Can i send you a billLaughing out loudly

@Tebes,
Bonde la.....

@Wendz,
Ngai....is that Gi-shumari?Laughing out loudly Laughing out loudly


hahaha! Njung'e hajui 'githwahiri'Laughing out loudly
The utimate goal of investing is to buy low sell high;if we re-write this core equation in psychology terms it becomes buy fear sell greed.
Tebes
#19 Posted : Friday, September 17, 2010 11:01:55 AM
Rank: Elder


Joined: 11/26/2008
Posts: 2,097
Siku moja.....Babu alienda hospitali. Kufika kaambiwa itabidi kupimwa damu kwa kidole na muuguzi. Lakini ikawa damu haitoki.
Ilimbidi muuguzi yule wa kike amnyonye kidole ndiyo damu itoke. BABU naye akaona raha. Akasema mkojo pia hautoki...……………..

Tafakari Hayo.

"Never regret, if its good, its wonderful. If its bad, its experience."
chikita
#20 Posted : Friday, September 17, 2010 11:10:46 AM
Rank: New-farer


Joined: 2/18/2010
Posts: 94
Location: Nairobi
Njung'e wrote:
radio wrote:
kiswahili kiangu kimeishia hapo.

Laughing out loudly Laughing out loudly ....BK..Laughing out loudly .Can i send you a billLaughing out loudly

@Tebes,
Bonde la.....

@Wendz,
Ngai....is that Gi-shumari?Laughing out loudly Laughing out loudly


@Njung'e al maarufu Guka, yakaa leo umeduwaa umebaki kinywa wazi. Yaonekana hii lugha huielewi ng'o!!
Jipe moyo lakini, hata kiangu kimeisia hapa!!
Users browsing this topic
Guest (6)
3 Pages123>
Forum Jump  
You cannot post new topics in this forum.
You cannot reply to topics in this forum.
You cannot delete your posts in this forum.
You cannot edit your posts in this forum.
You cannot create polls in this forum.
You cannot vote in polls in this forum.

Copyright © 2024 Wazua.co.ke. All Rights Reserved.