@mpenzi.....la hasha.....
ilikua matatu ya kawaida.....wewe kwani umetoka wapi....
Then there was this....
Afadhali kuraruka nguo kuliko kuraruka akili..pap!
Mwanamke akiwa mang'aa....rudisha kwao.....
It is called the matatu culture....
lipa bila fujo ....hii kazi ni ngumu!
unasema gari yangu ni mzee....na huna hata baiskeli...
God gave me the power to make wealth ... Blessed the work of my hands & enabled be A SELF MADE BILLIONAIRE ...... TO GOD THE FATHER OF MY LORD JESUS CHRIST; BE THE GLORY NOW & FOREVER MORE!