Magigi wrote:...fafanua...kukutana kufanya nini? Kula, kunywa, kulala, kuzini, kuzika, na kadhalika na kadhalika... Pia saa ngapi...asubuhi, mchana, usiku na kadhalika na kadhalika... na nani na kwa nini na kadhalika na kadhalika...
kuzini-luthuli
meeting -lifestyle lounge,monrovia
kulewa -reke marie
on a different note mc kwani unafanya harusi
Think Positive Test Negative