Mimi tuko na kadonye....nos 1 and 3.
Halafu pia tuko pamoja na alo....yesu ndiye njia...nothing beats it...reasoning....logic and common sense....biblicaly!!!1
Kama hujawahi sikia...make a date with akina mwalimu....inatoa ujinga na pia uchafu kwa masikio....na pia rohoni...lakini kina maina kageni ABK...esp...when it comes to marriages...
i cant spare a minute to hear that crap!
Kiss 100....haiya bado inakuanga???...caro mutoko...mwenye alisema hataki kuolewa lakini atapata mtoto?? ABK....Nothing to offer...yaani kuna watu wasikizanga??
Kweli kuna watu na wengine!
God gave me the power to make wealth ... Blessed the work of my hands & enabled be A SELF MADE BILLIONAIRE ...... TO GOD THE FATHER OF MY LORD JESUS CHRIST; BE THE GLORY NOW & FOREVER MORE!